Ingia / Jisajili

Onjeni Mwone

Mtunzi: Felix Owino
> Mfahamu Zaidi Felix Owino
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Owino

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Felix Owino

Umepakuliwa mara 147 | Umetazamwa mara 313

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema (yu mwema) onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema x2;(Nitamuhidi Bwana,kila wakati,kweli sifa zake zi kinywani mwangu daima x2) 1.Katika Bwana nafsi yangu itajisifu wanyenyekevu waskie,wakafurahi. 2.Mtukuzeni Bwana pamoja nami na tuliadhimishe jina,lake pamoja. 3.Nalimtafuta Bwana akanijibu akaniponya na hofu,zangu zote. 4.Wakamwelekea macho wakati wa nuru wala nyuso zao hazita,ona haya. 5.Malaika wa Bwana hufanya kituo aki wazungukia wamchao na kuwaokoa.

Maoni - Toa Maoni

E. Mutinda Mar 10, 2024
Hongera mwalimu Kwa kazi safi ya mlkutukuza Mungu...Mungu akakuzidishie kibali

Toa Maoni yako hapa