Ingia / Jisajili

Upokee Baba Sadaka

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 2,879 | Umetazamwa mara 7,691

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Upokee Baba (Sadaka) tunazokutolea, ni kazi ya mikono yetu sisi wanadamu x 2.

Mashairi:

1.Twakutolea mazao ya mashamba yetu, twakuomba Baba uyapokee.

2. Twakutolea na pia fedha zetu, twakuomba Baba uzipokee.

3. Pia nafsi zetu twakutolea Bwana, twakuomba uzipokee.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa