Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,368 | Umetazamwa mara 4,191
Download Nota Download MidiKweli Bwana kafufuka–kweli Bwana kafufuka twimbe sote aleluya x2
Aleluya – Bwana kafufuka (aleluya) Bwana kafufuka (Bwana) kafufuka yu mzima x2
1.Amefufuka mzima Bwana ni mshindi,
Ameyashinda mauti Bwana kafufuka
2.Kaburini ametoka Bwana kafufuka,
Kweli tumeshududia kaburi ni tupu
3.Ametangulia kwenda huko Galilaya,
Tutakapomwona Bwana yeye yuko hai
4.Bwana Yesu ni shupavu tumshangilie,
Mfalme wetu kafufuka tumshangilie
5.Katuletea uzima sote tufurahi,
Bwana katufanya huru sote tufurahi
6.Aleluya aleluya twimbe aleluya,
Sote twimbe aleluya twimbe aleluya