Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,329 | Umetazamwa mara 4,267
Download Nota Download MidiMoyo Mtakatifu wa Yesu (moyo) moyo wake Yesu ni wa mapendo na huruma
Tena moyo wa Yesu - ni chemchemi ya faraja zote (moyo) wa amani matumaini tujalie
1.Moyo wake Yesu unaostahili sifa zote,
moyo unaotawala mioyo yetu
2.Moyo wake Yesu ni uzima na ufufuo wetu,
pia amani na upatanisho wetu
3.Moyo wake Yesu moyo mpole na mnyenyekevu,
wenye uvumilivu na huruma nyingi