Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 506 | Umetazamwa mara 2,778
Download Nota Download MidiSiku hii iliyo kuu (twaiadhimisha) tunaiadhimisha (siku hii ya) kwa heshima yake (Mtakatifu) Inyasi wa Loyola x2
1.Tunasherehekea sote, nyuso zimejawa furaha
(tunavipiga vigelegele) makofi nderemo na vifijo
(leo) tunashangilia
2.Alijitoa kwa moyowe, bila ya kujibakiza
(kuleta mabadiliko tele) katika maisha ya kiroho
(yetu) sisi wakosefu
3.Waamini tuuige huo, mfano bora ’lotuonyesha
(aliyotuonyesha Mtakatifu) alivyodhihirisha upendo
(wake) kwake Mungu Baba
4.Mtakatifu Inyasi, Inyasi wa Loyola
(tuombee kwake Mungu Baba) sote sisi wana wa dunia
(nasi) tufike mbinguni