Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 922 | Umetazamwa mara 3,252
Download Nota Download MidiTwakutolea (ee Baba) vipaji vyetu (pokea) ni ishara ya shukrani zetu
Bwana Mungu twakuomba uvipokee, Vyote tunavyokutolea wanao
1.Mkate na divai twaleta,
ni kazi ya mikono yetu, Bwana Mungu pokea
2.Nazo fedha za mifukoni,
na shughuli za kila siku …
3.Na mazao ya mashambani,
umefanya yakasitawi …
4.Twende sote mbele za Bwana,
vyote tunavyo tumtolee …
5.Kazi zetu twakukabidhi,
mikoni mwako pokea, …