Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 924 | Umetazamwa mara 3,495
Download Nota Download MidiAleluya mshukuruni Bwana – liitieni jina lake x2
Wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda
Aleluya mshukuruni Bwana liitieni jina lake
1.Mwimbieni mwimbieni Yeye sifa waambieni,
waambieni matendo yake yote ya ajabu
2.Utukufu kwa jina lake takatifu mioyo ya,
wale wamtafutao Bwana na ifurahi
3.Mtafuteni Bwana na nguvu zake utafuteni,
utafuteni uso wake Bwana siku zote
4.Kumbukeni matendo ya ajabu aliyoyafanya,
miujiza yake na hukumu alizozitamka