Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 243 | Umetazamwa mara 1,148
Download Nota Download MidiHapo nimefika Bwana ni nguvu zako na ndipo mimi nasema ndiwe Ebeneza
1. Uliponiweka mimi tumboni mwa mama yangu ukanilinda mpaka nikazaliwa
2. Akili mimi kanipa kushinda viumbe vyote ukanipa mamlaka kuvitawala
3. Maadui watakapo kuniangamiza mimi ndiwe mlinzi ee Bwana asante sana
4. Nimekuja mbele zako na ombi langu ee Bwana uendelee milele kuniongoza