Ingia / Jisajili

Pokea Ombi Letu (Tualie Amani)

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Tenzi za Kiswahili

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 76

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Baba twaomba pokea X2 pokea ombi letu pokea; Utujalie amani humu duniani amani, utujalie amani; ombiletu pokea 1. Vita vya ukabila vyazidi kuongezeka – ee Baba ijaze dunia kwa amani 2. Ulipuzi kanisani, madukani hata shuleni – ee Baba ijaze dunia kwa amani 3. Ubakaji kwa Watoto, vijana hata wazee - ee Baba ijaze dunia kwa amani 4. Umwagikaji wa damu umekithiri kwa siasa - ee Baba ijaze dunia kwa amani

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa