Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,297 | Umetazamwa mara 3,893
Download Nota Download MidiKiitikio: Msaada wangu, u katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi x 2.
Mashairi:
1. Nitayainua macho yangu, niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi.
2. Asiuache mguu wako usogezwe, yeye akulindaye asisinzie, Naam, hatasinzia wala hatalala.
3. Bwana ndiye mlinzi wako, Bwana ni uvuli, husimama mkono wako wa kuume.
4. Bwana atakulinda na mabawa yote, atakulinda nafsi yako, atakulinda utokapo na uingiapo.