Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 313 | Umetazamwa mara 1,967
Download Nota Download MidiMoyo wake Bwana Yesu mpendelevu (moyo huu) Ni sadaka iliyo kuu moyo wa Yesu
Moyo wake Bwana Yesu ndiyo chemchemi (ya uzima) uzima wa milele na utakatifu
1.Upendo mwingi umejaa ndani ya moyo huu
Sifa zake moyo huu leo twazitaja
Utuhurumie moyo moyo wa Yesu
2.Watuepusha nazo njia njia za mwovu
Watuelekeza kwenye njia ya uzima
3.Tunapata msamaha msamaha wa dhambi
Baraka tunazipata katika moyo huu