Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 671 | Umetazamwa mara 4,540
Download Nota Download MidiNinakuungamia Mungu Mwenyezi,
nanyi ndugu zangu kwani nimekosa
Kwa mawazo kwa maneno kwa vitendo,
na kwa kutotimiza wajibu wangu
Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana
Ndiyo maana nakuomba Maria,
Mama mwenye heri Bikira daima
Malaika na watakatifu wote,
nanyi ndugu zangu mniombee
Niombeeni kwake Mwenyezi Bwana Mungu wetu