Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 327 | Umetazamwa mara 1,813
Download Nota Download MidiWewe nuru kweli na wokovu wangu
Nakuabudu Yesu katika Hostya
1.Mwanga wako Kristu utuongoze
Ndiwe ngome ya uzima wetu
2.Upendo wako kwetu ni kubwa sana
Yatuunganisha waamini wako
3.Twapata nguvu na kutakaswa
Tukishiriki sakramenti hii
4.Nitakuabudu Yesu daima
Nasadiki u Mungu wangu
5.Baraka na amani umetujalia
Milele yote tutakusifu