Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,075 | Umetazamwa mara 3,020
Download Nota Download MidiKando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi,
tukalia tulipoikumbuka Sayuni
Katika miti iliyo katikati yake,
tulivitundika vinubi vyetu
1.Maana huko waliotuchukua mateka,
walitaka tuwaimbie na waliotuonea walitaka furaha –
Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni
2.Tuuimbeje wimbo wake Bwana katika nchi,
ya ugeni? Ee Yerusalemu nikikusahau wewe n’kikusahau wewe –
Mkono wangu wa kuume na usahau
3.Ulimi wangu na ugandamane na kaakaa,
la kinywa changu nisipokukumbuka nisipoikuza Yerusalemu –
Zaidi ya furaha yangu iliyo kuu