Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,903 | Umetazamwa mara 6,410
Download Nota Download MidiMwimbieni Bwana wimbo mpya – mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni Bwana (dunia yote)
Mwimbieni Bwana mlisifu jina lake, tangazeni wokovu wake kila siku
1.Tangazeni utukufu wake katikati, ya mataifa matendo
yake – ya ajabu miongoni mwa mataifa yote
2.Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kustahili, kusifiwa
kuliko wote – Yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote
3.Kwa maana miungu yote ya mataifa, miungu yote
ya mataifa – si kitu lakini Bwana aliziumba mbingu
4.Fahari na enzi viko mbele yake nguvu, enzi viko
mbele yake nguvu – nao utukufu vimo patakatifu pake