Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 663 | Umetazamwa mara 2,531
Download Nota Download MidiBwana Yesu – kweli ametualika (twende sote) kwenye karamu yake (takatifu) chakula hiki kiko tayari twende ndugu (twende) kwenye karamu yake
1.Bwana’sema chakula hiki nitakachowapa ni
(mwili wangu) kuleni mpate uzima ujao
2.Bwana'sema kinywaji hiki nitakachowapa ni damu
(damu yangu) kunyweni mpate uzima ujao
3.Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu
(kweli ana) ana uzima wa siku zote