Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 352 | Umetazamwa mara 1,938
Download Nota Download MidiNakukimbilia Wewe tegemeo langu (ee Bwana) Mungu wangu unipokee uniponye mi’ m’dhambi
1.Ewe Mungu wangu kweli Bwana njia zangu hazipendezi – n’elekeze nizifuate njia zako
2.Sina’mani Bwana pakuenda sina mimi, dunia yote – ila Wewe pekee ndiwe msaada wangu
3.Nayo maisha yangu yote Bwana wayajua, siwezi ficha – kila kitu nitendalo kila saa
4.Shida zote zinazonikumba maishani, Bwana nikuitapo – uitikie z’kufikie dua zangu
5.Ninakulilia uzifute dhambi zangu, Bwana nisamehe -mzimekuwa kwangu mzigo n’ondolee
Mi m’dhambi Bwana wangu niokoe x3