Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,026 | Umetazamwa mara 3,714
Download Nota Download Midi1.Tulitangaze neno – neno lake Bwana, leo linatujia
(ni neno, ni neno latujia) neno la uzima, tulitangaze kote
Na tulitangaze duniani kote – ni neno la uzima, tutangaze neno
Tulitangaze neno lake Bwana, pembe zote za dunia x2
2.Tulihubiri neno – neno lake Bwana, leo linatujia
(ni neno, ni neno latujia) neno la amani, tulihubiri kote
Na tulihubiri duniani kote – ni neno la amani, tuhubiri neno
Tulihubiri neno lake Bwana, pembe zote za dunia x2
3.Tulieneze neno – neno lake Bwana, leo linatujia
(ni neno, ni neno latujia) neno la upendo, tulieneze kote
Na tulieneze duniani kote – ni neno la upendo, tueneze neno
Tulieneze neno lake Bwana, pembe zote za dunia x2
4.Tulitukuze neno – neno lake Bwana, leo linatujia
(ni neno, ni neno latujia) neno takatifu, tulitukuze kote
Na tulitukuze duniani kote – ni neno takatifu, tutukuze neno
Tulitukuze neno lake Bwana, pembe zote za dunia x2