Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Misa | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 2,823 | Umetazamwa mara 8,239
Download Nota Download Midi1.Neno la Bwana ni la uzima, neno lake Mungu
Neno la Bwana ni la uzima neno lake Mungu
Neno la Bwana ni la uponyaji, neno lake Mungu
Neno la Bwana ni la uponyaji neno lake Mungu
Sote tulisikilize neno hili lake Bwana
Tulitangaze tulihubiri neno lake Bwana
2.Neno la Bwana ni la rehema, neno lake Mungu
Neno la Bwana ni la msamaha, neno lake Mungu
3.Neno la Bwana ni la amani, neno lake Mungu
Neno la Bwana ni la faraja, neno lake Mungu
4.Neno la Bwana ni la wokovu, neno lake Mungu
Neno la Bwana ni takatifu, neno lake Mungu