Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,110 | Umetazamwa mara 3,875
Download Nota Download Midi1.Neno hili lake Bwana, ni neno la uzima – Neno
Neno hili lake Bwana, ni neno la amani – Neno
Ni neno la kweli hili neno la Bwana
Hili neno jema hili neno la Bwana
2.Neno hili lake Bwana, ni neno la faraja –
Neno hili lake Bwana, ni neno la ukweli –
3.Neno hili lake Bwana, ni neno la upendo –
Neno hili lake Bwana, ni neno la wokovu –
4.Neno hili lake Bwana, ni neno takatifu –
Neno hili lake Bwana, ni neno la ushindi –
5.Neno hili lake Bwana, ni neno la msamaha –
Neno hili lake Bwana, ni neno la baraka –
6.Neno hili lake Bwana, neno la tumaini –
Neno hili lake Bwana, ni neno lenye nguvu –