Ingia / Jisajili

Pokea Sadaka Mikononi Mwako

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 27 | Umetazamwa mara 156

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana pokea sadaka yetu mikononi mwake, Kwa sifa na utukufu wa jina lake, Na pia kwa mafaa yetu sisi, na mafaa ya kanisa lake takatifu X2 1. Mkate na divai tunazo kutolea, zigeuze mwili na damu ya Kristu. 2. Dhabihu na nadhiri tunazo kutolea, zipokee Bwana pia shukurani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa