Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 936 | Umetazamwa mara 3,171
Download Nota Download Midi1.Roho Mtakatifu njoo twakuhitaji ewe Roho
Roho mleta uzima twakuhitaji ewe Roho
Njoo Roho Mtakatifu x4
2.Roho mleta amani pia mapendo kaa nasi
Unatupa tumaini nao uzima wa milele
3.Kwako tunachota nguvu ya safari hii kuja kwako
Mfariji wetu sisi njoo ewe Roho Mtakatifu
4.Twakusihi kwetu njoo Roho wa Mungu kwetu njoo
Uwe mwanga wa mioyo utuangaze toka mbingu