Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,186 | Umetazamwa mara 5,762
Download Nota Download MidiNinaungama dhambi zangu zote, kwa Mungu Mwenyezi kwani nimekosa
1.Nakuungamia Mungu Mwenyezi nanyi ndugu zangu,
kwani nimekosa nimekosa mno
2.Kwa mawazo kwa maneno vitendo kwa kutotimiza,
wajibu wangu nimekosa sana
3.Nakuomba Maria mwenye heri Bikira daima,
uniombee kwa Bwana Mungu wetu
4.Malaika watakatifu wote nanyi ndugu zangu,
mniombee kwa Bwana Mungu wetu