Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 647 | Umetazamwa mara 2,507
Download Nota Download MidiRoho Mtakatifu njoo - Roho Mtakatifu njoo uzienee nyoyo za waamini wako,
(Uwatie uwatie mapendo yako, uwatie mapendo yako aleluya) x2
1.Kanisani kwa wachungaji njoo, kwa walimu na kwa wakristu njoo
Kwa mashuleni kwa vijana na kwa watoto njoo
2.Nyumbani kazini safarini njoo, Shidani na katika njaa njoo
Katika kifo na furahani siku zote njoo