Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 734 | Umetazamwa mara 3,295
Download Nota Download MidiEe Bwana fadhili zako zikae nasi zikae nasi, kama vile tulivyo-kungoja Wewe x2
1.Kwa kuwa neno la Bwana lina adili na kazi yake,
huitenda kwa uaminifu huzipenda haki
na hukumu nchi imejaa fadhili za Bwana
2.Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao wazingojeao,
fadhili zake yeye huwaponya nafsi zao
na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa
3.Nafsi zetu zinamngoja Bwana yeye ndiye msaada wetu,
tena ni ngao yetu Bwana fadhili zako zikae
nasi kama vile tulivyokungoja Wewe