Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,811 | Umetazamwa mara 5,141
Download Nota Download Midi
Watu na wakushukuru – Watu wote na wakushukuru
watu wote na wakushukuru ewe Bwana Mungu x2
1.Mungu atufadhili – na kutubariki
Nakutuangazia – uso uso wake
Njia yake ijulikane duniani – wokovu wake kati ya mataifa
2.Naam hao mataifa – na washangilie
Mataifa yaimbe – yaimbe kwa furaha
Maana atawahukumu watu kwa haki – na kuwaongoza watu duniani
3.Nchi imeyatoa – mazao yake Mungu
Mungu atubariki – atubariki sisi
Miisho ya dunia itamcha Yeye – miisho ya dunia itamcha Yeye