Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 716 | Umetazamwa mara 6,598
Download Nota Download Midi1.Nakuungamia Mungu Mwenyezi nanyi ndugu zangu
kwani nimekosa, naungama dhambi zangu
2.Kwa mawazo yangu maneno vitendo na kutotimiza
wajibu wangu, naungama dhambi zangu
3.Nimekosa mimi nimekosa sana maana nakuomba
Maria mwenye heri, naungama dhambi zangu
4.Malaika na watakatifu wote nanyi ndugu zangu
mniombeeni kwa Mungu, naungama dhambi zangu