Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 2,144 | Umetazamwa mara 8,044
Download Nota Download MidiNdiyo Sakramenti kuu mwili na damu ya Yesu – tunaaamini Yesu yupo kati yetu katika (Ekaristi takatifu) tunakuabudu Yesu tunakuheshimu
1.Altarini U mzima Bwana wangu,
tugawie neema zako Bwana
2.Aulaye mwili na kunywa damu,
hataona njaa wala kiu tena
3.U sadaka ya kutupatanisha,
naye Baba Mwenyezi Muumba wetu
4.Tujalie uzima wa milele,
na sote tufike kwako mbinguni