Ingia / Jisajili

Tangu Mwanzo

Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Alfred Ogombo

Umepakuliwa mara 246 | Umetazamwa mara 1,411

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke

Hivyo mtu atamwacha babaye na pia mamaye, ataambatana na mkewe watakuwa mwili mmoja

1.Mume ni kichwa cha mke wake kama Kristu naye ni kichwa cha kanisa – kama Kristu naye ni kichwa cha kanisa

2.Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe – naye mke amstahi mumewe


Maoni - Toa Maoni

Toa Maoni yako hapa