Ingia / Jisajili

Uihifadhi Roho Ya Mzee Venance Lyapembile

Mtunzi: Thomas G. Mwakimata
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas G. Mwakimata

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 219 | Umetazamwa mara 923

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Uihifadhi Roho ya Venance Lyapembile (Bwana) kwa kadiri ya huruma yako umsamehe dhambi zote na kumrehemu x 2. Mashairi: 1.Ee Mungu usikie sala na aombi yetu, Umpokee venansi Lyapembile ( Twakusihi) Umpokee Venansi Lyapembile. 2. Amekutegemea wewe maisha yote Umpokee venansi Lyapembile ( Twakusihi) Umpokee Venansi Lyapembile. 3. Kwa Ibada hii ya Misa tunakuomba Bwana, Umpokee venansi Lyapembile ( Twakusihi) Umpokee Venansi Lyapembile. 4. Ndiwe kimbilio letu Mungu wa faraja zote, Umpokee venansi Lyapembile ( Twakusihi) Umpokee Venansi Lyapembile.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa