Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 576 | Umetazamwa mara 2,799
Download Nota Download MidiNasi sote ndugu twende tumpelekee – Bwana zawadi zetu [(ewe Mungu) Baba tunakuomba, twakusihi zipokee] x2
1.Mkate na divai twaleta ni kazi,
ya mikono yetu wanadamu
2.Twaleta kwa moyo ule wa mapendo,
twakuomba Baba zibariki
3.Twaleta mifugo twaleta mazao,
ya mashamba yetu yapokee
4.Twaleta na nafsi zetu kwako Baba,
na shughuli zetu za siku
5.Tupeleke ndugu kama shukurani,
twakuomba Baba zitakase