Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 766 | Umetazamwa mara 3,833
Download Nota Download MidiNi Sakramenti kubwa – Mwili na damu yake Yesu Kristu
Mfalme Mtukufu (Bwana) twaheshimu kifudi (ee) Hostia yenye wokovu ufunguo wa mbingu x2
1.Tunakumbuka mateso yako Bwana katika hii Sakramenti,
kubwa uliyotuachia, Bwana Yesu Kristu
2.Katika hii Sakramenti kuu yote ambayo macho hayaoni,
kweli imani huyaona, imani huyaona
3.Wewe ni chakula cha uzima kilichoshuka kutoka mbinguni,
mtu akila chakula hiki, ataishi milele