Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 1,067 | Umetazamwa mara 3,616
Download Nota Download MidiDunia yote ifurahi – Mwokozi wetu amefufuka tuimbe sote (aleluya) aleluya kafufuka Bwana
[(Kaburini) hayumo tena leo 'kafufuka] x2
1.Bwana Yesu kafufuka leo na mapema kaburini
(ametoka) Bwana ameshinda mauti tumshangilie
2.Bwana kashinda mauti ufufuko wake ni ushindi
(tumaini) la uzima wa milele ametujalia
3.Kweli sisi mashahidi ya ’fufuko wake Bwana Yesu
(kweli sisi) tumeshuhudia ufufuko wake Mwokozi
4.Utukufu na ukuu una yeye leo na milele
(hakika) utukufu wake Bwana kweli hauna mwisho