Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 928 | Umetazamwa mara 2,562
Download Nota Download MidiKazaliwa leo Mfalme – Kazaliwa leo Mfalme mjini Betlehemu tuimbe sote (leo) aleluya
Dunia ishangilie leo – Kwani Mtoto Yesu (Mfalme) kazaliwa
1.Nasi sote twende tukamwone Mtoto Yesu aleluya
2.Twende na zawadi tukamtolee na shukrani aleluya
3.Kristu Mungu Mwana katujia Mkombozi aleluya
4.Mtoto mwanamume Mtawala wa dunia aleluya
5.Naye ataitwa jina lake Emanueli aleluya
6.Kweli tumeona wokovu wa Mungu wetu aleluya
7.Nasi tuimbe sote aleluya aleluya aleluya