Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 1,345 | Umetazamwa mara 3,641
Download Nota Download MidiANGAZA GIZA LA MOYO WANGU [Br. Stanslaus Mkombo, OFMCap]
[Sala ya Mt. Fransisko wa Asizi]
Ee Mungu Mkuu (I-III: na)/ (IV: Mungu Mungu) Mtukufu, angaza giza la moyo (IV:moyo) wangu, na unijalie Bwana Imani sahihi, Matumaini thabiti Mapendo kamili, busara na ufahamu ili nilitimize angizo lako takatifu na la kweli.
Mashairi
1: Ukae ndani yangu, na mimi ndani yako, na Roho Mtakatifu aniongoze.
2. Atukuzwe Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, kama mwanzo, sasa, siku zote na milele. Amina.