Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 5,017 | Umetazamwa mara 12,862
Download Nota Download MidiATUKUZWE MUNGU (Masifu baada ya Baraka Kuu) Ndg. Stanslaus L. Mkombo, OFMcap. Atukuzwe Mungu Baba wa mbinguni/ litukuzwe Jina lake takatifu, (II: litukuzwe Jina lake) Atukuzwe Yesu Kristu/ Mungu kweli, mtu kweli;Litukuzwe Jina Yesu takatifu. Utukuzwe Moyo wake, Moyo wake Mtakatifu,itukuzwe Damu yake takatifu. Atukuzwe Yesu katika Sakramenti Takatifu ya altare (II&III: Atukuzwe Yesu Sakramenti altareni)/ Atukuzwe Roho (III&IV: naye Roho naye Roho) Mtakatifu mfariji. Asifiwe Maria (III&IV: Asifiwe), Mama wa Mungu (I&II: Asifiwe) Maria (I&III: Mtakatifu) Maria, (I&II: aliyeki)ngiwa dhambi ya asili. (I&II: Asifiwe) Maria (I&III: Mtakatifu) aliye-(I&II: karibishwa) mbinguni kwa utukufu. Lisifiwe jina la Maria Bikira na Mama./ Asifiwe Yosefu mtakatifu mchumba wake (III&IV : asifiwe Yosefu) mwenye usafi kamili. Atukuzwe Mungu juu mbinguni kwa ajili ya Malaika, na kwa ajili ya watakatifu wake.x2