Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 760 | Umetazamwa mara 3,081
Download Nota Download MidiFURAHI YERUSALEMU [Br. Stanslaus Mkombo, OFMCap.]
I: Furahi furahi furahi furahi Yerusalemu; Furahi furahi Yerusalemu.X2
II-IV: Furahi furahi furahi furahi Yerusalemu.X2
I &III: Mshangilie-ni, ni-nyi nyo-te, ninyi nyote mumpe-ndao.x2
II: Mshangilieni shangilieni, ninyi nyote mumpe-ndao.X2
IV:Mshangilieni shangilieni shangilieni ninyi nyote mumpendao.x2
Mashairi:
1. Furahini pamoja naye, shangilieni kwa’jili yake, ninyi nyote mumpendao, mliao kwa ajili yake.
2. Mpate kunyonya, kushibisha, kwa maziwa ya faraja yake; mpate kukama, kufurahiwa, kwa wingi wa utukufu wake.
3. Maana Bwana Mungu asema, “Nitamwelekezea amani, na utukufu wa mataifa, kama kijito kifurikacho.