Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Huruma ya Mungu
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 423 | Umetazamwa mara 2,821
Download Nota Download MidiMUNGU NI BABA WA HURUMA [Br. Stanslaus Mkombo, OFMcap.]
Chorus:
Mungu Baba wa huruma ndiye ni Bwana Mungu, mwingi wa huruma:
// (I&II: Ni mwenye fadhili, si mwepesi wa hasira) (II&IV: Ni mwenye fadhili, hakasiriki ovyo), (I-IV) ni mwingi wa rehema na kweli na kweli.
(I&II: Mwenye kuwaonea huruma watu maelfu) (II&IV: Mwenye kuwaonea huruma maelfu), (I-IV) na mwenye kusamehe makosa na dhambi.//
Mashairi:
1. Bwana ni mwenye huruma kwa wote wamuitao, ndio wale wamchao na kuzitegemea fadhili zake.
2. Atakasa dhambi zao, aponya magonjwa yao, afuta adhabu zao; Bwa-na hughairi maovu yote.
3. Mtafuteni Bwa-na, ma'damu apatikana mwiteni mwiteni Bwa-na maadamu yu karibu.