Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Mazishi | Moyo Mtakatifu wa Yesu | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 2,800 | Umetazamwa mara 6,347
Download Nota Download Midi//Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu; Katika majani mabichi hunilaza, kwa maji tulivu huniongoza.//x2
1. Waandaa meza mbe-le yangu, ni machoni pa wate-si wangu; Umenipaka mafuta kichwani pangu, na kikombe changu cha-furika.(Bwana)
2. Bwana hunihuisha na kuniongoza, katika haki kwa Ji-na lake; Nijapopita uvulini mwa mauti, siogopi kwani u-ko nami.(Bwana)
3. Gongo lako na fimbo yako vyanilinda, wema na fadhili zanifuata. Kwa siku zote za maisha yangu yote, nitakaa kwako milele yote.(Bwana)