Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Ndoa | Zaburi
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 3,124 | Umetazamwa mara 8,152
Download Nota Download MidiBWANA AWAPELEKEE MSAADA [Br. Stanslaus Mkombo, OFMCap.]
[Wimbo wa Mwanzo wa Misa ya Ndoa]
// Bwana awapelekee msaada kutoka patakatifu pake; x2
Na kuwategemeza kutoka Sayuni. Awajalieni haja ya mioyo yenu, na kuyatimiza mashauri yenu yote.x2//
Mashairi
1. (Bass) Mbarikiwe ninyi na Bwana anayewaunganisha leo, aliyezifanya mbingu na nchi.
2. (Tenor) Mungu awajalieni watoto; Awajalie ninyi na wazao wenu wote.