Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 2,426 | Umetazamwa mara 6,202
Download Nota Download MidiEe Baba twaleta vipaji vyetu vya mkate na divai altareni pako x2
Uvibariki ee Baba, uvitakase ee Baba, na sisi utubariki. x2
1 (a) Ni mazao ya nchi yetu na neema zako Baba, twaomba uvipokee.
(b) Vigeuze kuwa, Baba, kwa ajili yetu sisi, Mwili na Damu ya Yesu.
2 (a) Nazo nafsi zetu, Baba, twazileta kwako, Baba, twaomba utubariki.
(b) Na maombi yetu, Baba, twayaleta kwako, Baba, twaomba uyasikie.
3 (a) Nazo fedha zetu, Baba, twazileta kwako, Baba, twaomba uzipokee.
(b) Nazo mali zetu, Baba, twazileta kwako, Baba, twaomba uzipokee.