Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Alfred Ogombo
Umepakuliwa mara 555 | Umetazamwa mara 2,400
Download Nota Download MidiMaswali najiuliza majibu sipati (kwani) kila ulichokifanya chapendeza
Sifa zako nitazitukuza siku zote (nitaimba) utukufu wako Mungu uliye Mkuu
1.Maishani mwangu mimi n'takutumikia,
Bwana najitolea kadiri ya uwezo,
uwezo ulonipa Bwana Mungu wangu
2.Kaskazini na mashariki iwe kusini,
magharibi pande zote utukufu wako,
umeudhihirisha Bwana wa mabwana
3.Mchana na usiku nilalapo niamkapo,
wema wako 'nizingira kushoto kulia,
hamna cha kulinganisha na wema wako