Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mwanzo | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 2,651 | Umetazamwa mara 6,753
Download Nota Download MidiASTAHILI MWANAKAONDOO [Br. Stanslaus Mkombo, OFMCap]
Chorus
Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa kupokea uweza na utajiri, hekima pia nguvu na heshima. x2
//(I: Utukufu na ukuu)
I: Una Yeye, hata milele na milele.
II: Una Yeye, hata milele milele na milele.
III: Una Yeye, hata milele na milele na milele.
IV: Una Yeye, milele milele milele na milele.//x2
Mashairi
1. Maana kwa Damu yako, umemnunulia Mungu watu wa kila kabila, lugha, jamaa na Taifa.
2. Ukawafanya kuwa Ufalme na makuhani kwake Mungu wetu nao watatawala juu ya nchi.
3. Baraka na heshima, na utukufu na uweza, una Mungu mwenye enzi na Mwanakondoo milele.