Ingia / Jisajili

Nuru Huwazukia Wenye Adili

Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo

Umepakuliwa mara 1,699 | Umetazamwa mara 4,047

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NURU HUWAZUKIA WENYE ADILI       [Br. Stanslaus Mkombo, OFM Cap]

Mwenye haki hataondoshwa kamwe bali atakumbukwa milele.x2

Kwa maana nuru huwazukia, huwazukia wenye adili gizani.x2

  1. (Sauti ya I:) Ana fadhili, huruma na haki, atendaye fadhili na kukopesha, atengenezaye mambo yake kwa- haki.
  2. (Sauti ya I & II:) Hata ogopa haba-ri mbaya, moyo wake ni imara ukimtumaini Bwana.
  3. (Sauti ya I:) Moyo wake umethibitika hatao--gopa, hata awaone adui zake wameshindwa.
  4. (Sauti ya III & IV:) Amekirimu na kuwapa maskini, haki yake yadumu milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa