Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi | Mwanzo
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 1,746 | Umetazamwa mara 4,222
Download Nota Download MidiDONDOKENI ENYI MBINGU [BR. Stanslaus Mkombo, OFMcap]
Chorus
//Dondokeni enyi mbingu toka juu (nyesheni), na mawingu yammwage Mwenye Haki (wa Bwana)//
[I: Nchi na ifunuke kumtoa Mwokozi
II: Nchi na ifunuke, ifunuke nayo
III&IV: Nchi ifunuke, nchi (na) ifunuke, (I-IV) Nchi na ifunuke kumtoa Mwokozi] x2.
Mashairi:
1. Nimemngoja Bwana roho yangu inangoja, na neno lake nimelitumainia.
2. Nafsi yangu inamngoja Bwana kuliko walinzi waingojavyo asubuhi. Naam, walinzi waingojavyo asubuhi.
3. Ee Israeli umtarajie Bwana, maana kwake kuna wokovu na ukombozi mwingi.