Ingia / Jisajili

Hii Ni Karamu

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 1,470 | Umetazamwa mara 5,126

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Hii ni Karamu, Hii ni Karamu uzima wa Roho yumo Bwana Yesu kwa mwili na damu yake x 2.

Mashairi:

  1. Hiki ni chakula, kutoka mbinguni, Yesu atuita, tupate uzima.
     
  2. Jongeeni wote, kwa karamu hii, Yesu atuita tupate uzima.
     
  3. Jongeeni wote, wenye roho safi, Bwana kaandaa, kushibisha roho.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa