Mtunzi: Br. Stan Mkombo, Ofmcap
> Tazama Nyimbo nyingine za Br. Stan Mkombo, Ofmcap
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Stanslaus Mkombo
Umepakuliwa mara 810 | Umetazamwa mara 4,164
Download Nota Download MidiMTAKATIFU MONIKA UTUOMBEE
Chorus
I: Mtakatifu Monika, somo na msimamizi wetu, umetukuka katika kusali na kuombea, utuombee kwa Mungu ili tupate kuokoka. x2
IV: Mtakatifu Monika msimamizi wetu, umetukuka katika kusali na kuombea, utuombee kwa Mungu ili tupate kuokoka. x2
III: Mtakatifu Monika, umetukuka katika kusali na kuombea, utuombee kwa Mungu ili tupate kuokoka. x2
II: Mtakatifu Monika, umetukuka katika kusali na kuombea, utuombee kwa Mungu ili tupate kuokoka. x2
Mashairi
1. Ulimwombea mwanao Agustino akaokoka, wala haukukata tamaa utuombee nasi leo.
2. Miaka ishirini na saba uliomba bila kukoma; umejaa subira mama utuombee nasi leo.
3. Maisha yetu yamejaaa tufani na dhoruba nyingi; kwa nguvu zetu hatuwezi utuombee nasi mama.