Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Melkior Ngooh
Umepakuliwa mara 1,049 | Umetazamwa mara 3,949
Download Nota Download Midi
Kiitikio
Ewe mama Maria (Bikira mama wa Mungu) mkingiwa dhambi ya asili, tuombee mama kwa mwanao Yesu Kristu sisi na ulimwengu mzima X2
Mashairi
Mama uliyeshuhudia mateso ya Bwana wetu Yesu Kristu, utuombee mama umoja na mshikamano.
Wewe ulie kioo cha haki, utuombee kwa mwanao ili tuwatendee kwa wema na usawa watu wote.
Utuombee amani kwa mwanao mama yetu, utuombee amani, amani ya Dunia.