Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Melkior Ngooh
Umepakuliwa mara 707 | Umetazamwa mara 2,362
Download Nota Download Midi
Kiitikio
Ee Mungu (Muumba wetu) tunaleta vipaji mbele yako pokea X2 Pokea sadaka yetu ikupendeze ee Bwana iwe
kama sadaka ile ya kuhani Melkisedeki X2
Mashairi
1. Ee Bwana mapaji tunayokutolea ni mazao ya shamba kazi za mikono yetu, pokea kwa moyo na utujalie baraka. 2. Ee bwana tunakutolea vipaji vyetu kwa moyo kulitukuza na kulienzi kulienzi jina lako, pokea na utujalie upendo. 3. Ee Bwana tunakutolea kwa uweza na ukuu wako, pokea mapaji ee Baba pokea pokea na utujalie amani.