Mtunzi: Cpa M. B. Ngooh
> Mfahamu Zaidi Cpa M. B. Ngooh
> Tazama Nyimbo nyingine za Cpa M. B. Ngooh
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Melkior Ngooh
Umepakuliwa mara 1,234 | Umetazamwa mara 3,048
Download Nota Download MidiKiitikio
Enyi watu wote pigeni
makofi makofi ya shangwe X2 mpigieni Mungu kelele kwa sauti sauti ya shangwe X
2
Mashairi
1. Kwakuwa Bwana aliye juu
ni mwenye kuogofya, ndiye Mfalme Mkuu juu ya Dunia yote.
2. Mungu amepaa kwa kelele
za shangwe kwa sauti sauti ya baragumu.
3. Atatuchagulia urithi Mungu
wetu, ameketi katika kiti chake Kitakatifu.